Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Bara, Burhan Ruta, akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es SalaamLugano Mwafongo.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Bara, Burhan Ruta, akisisitiza jambo wakati akifungua
Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam,
uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya
Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwaafongo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam,
uliofanyika jana, Segerea. Mkutano huo ulikuwa mjaalum kwa ajili ya
Uchaguzi wapya wa Jumuia hiyo katika Wilaya ya Ilala..Zifuatazo ni picha mbalimbali za mkutano huo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇