LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2017

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA NYANGAO WATEMBELEA BUNGE NA KUKUTANA NA MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyangao iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyangao iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na walimu wa Shule ya Sekondari Nyangao iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, leo Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete na wapili kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. PICHA: OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages