MAMA SAMIA AONGOZA KUAGWA MWILI WA MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE, DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akionekana kuwa mwenye huzunikubwa wakati akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mkewe, Marehemu Linah Mwakyembe, wakatiwa shughuli ya kuuaga mwili, iliyofanyika Mbezi Beach, Dar es Salaam, leo. Nyingine ni picha za taswira ya shughul hiyo ya kuaga, ilivyokuwa.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akionekana kuwa mwenye huzunikubwa wakati akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mkewe, Marehemu Linah Mwakyembe, wakatiwa shughuli ya kuuaga mwili, iliyofanyika Mbezi Beach, Dar es Salaam, leo.