Friday, July 7, 2017

BURIANI DEDE, MAZISHI YAKE YAWEKA REKODI

MWANAMUZIKI gwiji wa uimbaji na utunzi wa nyimbo nchini, Shaban Dede (pichani) hatunaye. Amefariki dunia. Ametangulia kwenda kule ambako sote binadamu lazima tufike, isipokuwa kila mmoja kwa siku na wakati wake. Anaandi Rashid Zahor, Mwandishi mkongwe wa habari za michezo na Burudani wa Magazeti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani. 


Hatutamwona tena Dede. Hatutaisikia tena sauti yake tamu na murua, ikighani nyimbo mbalimbali za muziki wa dansi, iwe alizozitunga mwenyewe au zile zilizotungwa na wanamuziki wenzake. Inaendelea>>/BOFYA HAPA
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.