Monday, May 22, 2017

MARY BUJIKU KATIKA MAHAFALI YA TAHLISO YA WAHITIMU BORA WA VYUO VIKUU NCHINI

Mary Bujiku ni miongoni mwa wahitimu 120 waliofanya vizuri sana, katika mitihani yao ya kumaliza masomo katika vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini, ambao kutokana na umuhimu wao Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), liliwaandalia mahafali jijini Dar es Salaam, kwa udamini mkubwa wa PSPF. Pichani, Mary Bujiku akionyesha kuwa mwenye furaha wakati wa mahafali hayo juzi. Tafadahli endelea kuona picha kem kem za mahafali hayo. (pcha zote na Bashir Nkoromo)

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.