Saturday, May 20, 2017

MAMA MZAZI WA KAIMU KATIBU VYUO NA VYUO VIKUU NGD DANIEL ZENDA AZIKWA JANA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM.

Kumbu kumbu ya picha kipindi cha Uhai wake Mama Marehemu Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu enzi za uhaiwake
Watoto wa Marehemu  wa kiwa wamebebelea Mashada msalaba pamoja na picha ya kumbukumbu ya marehemu mama Mama Marehemu Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu enzi za uhaiwake
Mwili wa Marehemu ukiwasili nyumbani mama Gerwalda Edmund Zenda ukiwasili nyumbani kwa ajili ya ibada ya mazishi yaliofanyika katika makaburi ya kinondoni
Maafisa toka makao makuu ya Chama cha mapinduzi Taifa
waombolezaji wanakwaya toka kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Church wakiimba nyimbo za kuomboleza katika ibada ya kumwombea mama Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu


wachungaji toka kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Church wakiwa katika ibada  ya kumuombea marehemu mama
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Ndg:Abdul Ghaffar idriss wa kwanza kulia akiwa pamoja na familia ya Marehemu  Gerwalda Edmund Zenda..


Watumishi wa Makao makuu ya  Umoja wa Vijana wakiwa katika ibada ya mazishi iliyo fanyika Mikocheni A
Wanafamilia wakiwa katika Ibada kabla ya kumuombea marehemu kabla ya kuelekea kuzika katika Makaburi ya Kinondoni
Maafisa wa idara ya Vyuo na Vyuo vikuu wakitoa heshima za mwisho kwa mwiliwa marehemu
Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa kwanza kulia akimpa pole kaimu katibu idara ya Vyuo na Vyuo vikuu kufuatia
Kaimu Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu 
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndg:Abdul ghaffar Idris akitoa heshima za mwisho kwa mwiliwa marehemu Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu 

Ndugu wa Familia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu  mama Gerwalda Edmund Zenda mama mzazi wa Kaimu Katibu idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu


 (PICHA NA FAHADI SIRAJI UVCCM)
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.