LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 9, 2017

MZEE MWINYI, ATIMIZA UMRI WA MIAKA 92, HAPPY BIRTDAY MZEE WETU

Rais mstaafu wa awamu ya pili, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo Mei, 09, 2017, ametimiza umri wa miaka 92, hivyo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa. 

Blog hii ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Official Blog), CCM Blog, inapenda kuchukua fursa hii kumpongeza na kumshukuru Mungu muumba mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyomo duniani, kwa kumjaalia umri huo na timu nzima ya CCM Blog inamuombea kwa Mungu azidi kupata maisha marefu ya raha mstarehe yenye afya njema mzee wetu huyu. HAPPY BIRTH DAY MZEE MWINYI.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages