Sunday, May 14, 2017

KMTC YAJIPANGA KUJENGA JIKO LA KUYEYUSHIA CHUMA


Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC), Mhandisi Adriano Nyaluke akiwaonyesha Waandishi wa habari (hawapo pichani) baadhi ya mitambo itumikayo kutengeneza vipuri mbalimbali vya mashine 13 Mei, 2017 Moshi, Kilimanjaro.


Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC),  Mhandisi Adriano Nyaluke (kushoto) akiwaonyesha Waandishi wa habari mashine ya kutengeneza randa zitumikazo katika kazi za useremala, 13 Mei, 2017 Moshi, Kilimanjaro.


Meneja Mawasiliano wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Bw. Abel Ngapemba akiangalia moja ya mashine itumikayo kuchonga chuma wakati alipotembelea katika Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC), kilichopo Moshi, Kilimanjaro 13 Mei, 2017.


Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uzalishaji Vipuri vya Mashine Kilimanjaro (KMTC),  wakiwa kazini Moshi, Kilimanjaro 13 Mei, 2017.
<!--[if gte mso 9]>
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.