KINANA ASHIRIKI KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA WALIOFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI ARUSHA JUZI

 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (Watatu kushoto) akiwa kwenye Shughuli ya majonzi ya kuaga miili ya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja waliokufa katika ajali ya gari mkoani Arusha, juzi, Shughuli hiyo imefanyika leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ukiwa umefurika waombolezaji wakati wa kuaga miili hiyo, leo

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.