Tuesday, March 14, 2017

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AFUNGA SEMINA ELEKEZI KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA NA WILAYA NCHINI ,JINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli  wakati akihutubia wakati wa kufunga semina elelekzi kuhusu mageuzi ndani ya Chama kwa Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017. Kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Ame Silima, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey, Polepole, Katibu wa NEC Siasa na Uhusano wa Kimataifa, Kanali Ngemela Lubinga, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mstaafu Zakia Hamdan Meghji, Katibu wa NEC Oganaizesheni Mstaafu Mohamed seif Khatib, Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Vuai Ali Vuai na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Juma Abdallah Juma. Picha zote na Bashir Nkoromo
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.