HIVI HII 'KARIBUNI' YA MAALIM SEIF ITAFIKA LINI

Na Charles Charles
 
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia tena Wazanzibari kwamba "hivi karibuni", watasherehekea matunda ya kura zao walizopiga katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25,  2015, hivyo wasubiri kufanya sherehe ya kupatikana kwa haki yao.

Lakini wakati akiendelea na kauli yake hiyo hapa swali linalozuka ni kwamba je, hivi hii "karibuni" ya Maalim Seif itafika lini kwa vile sasa imemaliza mwaka na miezi mitano bila hata dalili?

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.