Sunday, February 5, 2017

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA KOMREDI MPOGOLO ANOGESHA SHEREHE ZA MIAKA 40 YA CCM, KIMBIJI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na viongozi wa CCM wakati wa Maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, yaliyofanyika jana katika Kata ya Kimbiji. mkoa wa Pwai. Katika Maadhimisho hayo ambayo kilele chake kifanayika leo mjini Dodoma, Mpogolo alinogesha kwa kushiriki michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku, kunywa soda kwa haraka, kuvuta kamba na mpira wa miguu ambapo washindi walizawadiwa fedha taslimu, kuku na jezi. Zifuatazo ni picha mbalimbali za sherehe hiyo

CCM MPYA, TANZANIA MPYA!

Na Emmanuel J. Shilatu
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.