Friday, January 13, 2017

TAARABU YA KUHEREHEKEA MIAKA 53 YA MAPINDUZI ZANZIBAR YARINDIMA

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana  na  Mshauri wa Rais masuala ya Utamaduni Chimbeni Kheir Chimbeni jana alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi kuhudhuria kwenye Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wai Dk. Ali Mohamed Shein, Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma (kushoto) Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Waziri Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kasim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika  Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, jana
Wake wa Viongozi wakuu wa Nchi wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana iliyopigwa na Kikundi cha Taifa
Baadhi ya Viongozi na Waalikwa mbali mbali wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  katika Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana iliyopigwa na Kikundi cha Taifa
Kikundi cha Taifa cha Muziki wa Taarab kikitumbuiza kwa Wimbo unaosema "Khofu yako Iondoke"ilyoimbwa na Profesa Moahmed Ilyas katika sherehe za Taarab rasmi ya kusherehekea Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika jana,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. Picha na Ikulu
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.