Saturday, January 14, 2017

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP 2017, JANA MJIZNI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, jana usiku.
Mshambuliaji wa Azam Joseph Mahundi akiumiliki mpira, dhidi ya mchezaji wa Simba Besela Bakungu timu hizo zilipomenyana jana usiku katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017,  kwenye Uwanja wa Aamaan mjini Zanzibar. Azam ilibuka kidedea baada ya kuifunga Simba 1-0. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.