Tuesday, December 6, 2016

RAIS DK MAGUFULI KUONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA. DESEMBA 9, MWAKA HUU

Rais Dk. Magufuli
Rais Dk. John Magufuli ambaye ndiye Amirijeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, ataongoza kwa mara ya kwanza sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania, zitakazofanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 9, Desemba mwaka huu.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Nchi (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye ulemavu, Ofisi ya waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Kusambazwa na Idara ya habari, MAELEZO,  sherehe hizo zitaambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo paredi ya vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
 Taarifa kamili soma ifuatayo


Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.