LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 20, 2016

MWENYEKITI WA CCM AKUTANANA NA WAKUU WAPYA WA IDARA ZA CCM NA DC MTEULE WA UBUNGO, LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule, Kisare Makori akishuhudiwa na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Bara Rodrick Mpogolo walipoenda, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 20, 2016.


Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk John Magufuli akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Kisare Makori (kushoto) na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2016.


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Kisare Makori (kushoto) akibadilishana mawasiliano na viongozi wapya wa CCM walioteuliwa hivi karibuni baada ya kukutana na Mwenyekiti wa CCM, Ris Dk John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Eslom Lubinga. (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages