LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2016

MAJALIWA AWASILI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA WADAU WA NSSF, APOKEWA NA MKUU WA MKOA MRISHO GAMBO

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua mkutano wa sita wa Wadau wa NSSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongozana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya  Waziri Mkuu, Jenista Mhagama , Jenista Mhagama  (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ambako  alifungua mkutano wa Sita wa NSSF kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Godfrey Chongolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha Oktoba 20, 2016 ambako alifungua Mkutano wa Sita wa Wadau wa NSSF kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) . Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages