MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKANUSHA TAARIFA ZA KUKAMATA WATU WANAOENDA NYUBMA ZA WAGENI MCHANAMHESHIMIWA PAULO MAKONDA
 Na Nassir Bakari

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Paulo Makonda amekanusha kauli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amewaamuru polisi kufanya msako kwenye nyumba za wageni wakati wa mchana na kuwakamata wataokutwa mda huo.
Akizungumza na mtandao huu alisema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu.
 

"Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu wanafanya kazi viwandani wengine usiku hivyo wanahitaji kupumzika mchana huwezi kuwazuia,
kinachofanyika ni Umbeya, siwezi kujibu hoja za kimbeya ni ujinga ....alimaliza Mh Makonda."

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.