KADA WA CHAMA CHA KISOSHALISTI CHA UBELGIJI ATEMBELEA OFISI YA CCM WILAYA YA ARUSHA

 Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha, Feruzy Bano akiwa na  Kada wa Chama cha Kisoshalisti kutoka nchini Ubelgiji Lars Meulenbergs katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi, ndani ya Ofisi ya CCM, Wilaya ya Arusha, hivi karibuni
Katibu wa Siasa na Uenezi Jasper Kishumbua akiwa na  Kada wa Chama cha Kisoshalisti kutoka nchini Ubelgiji Lars Meulenbergs , ofisini kwake, katika Ofisi ya CCM wilaya ya Arusha