BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBARATISHA MWINYI MZANGELA KATIKA MPAMBANO WA NDONDI

Mabondia Mwinyi Mzengela (kushoto) na Iddi Mkwela wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Mkwela alishinda kwa point katika mpambano huo wa raundi sita.

Bondia Iddi Mkwela (kulia) akipiga ngumi ya 'Upcut'  wakati mpinzani wake akiwa kamkumbatia. Mwela alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita uliofanyika mwishoni mwa wiki, katika Uwanja wa Taifa wa ndani, Dar es Salaam. Picha zaidi/GONGA HAPA