RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA WILAYA NA KUFANYA MABADILIKO KATIKA BAADHI YA MIKOARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.