LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 2, 2016

WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MKOA WA DAR ES SALAAM


 Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Picha zote na Mafoto Blog
 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,  Mei 1, 2016.
 Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
 Raawu......
 Sehemu ya wafanyakazi waliohudhuria sherehe hizo......
 Shirika la Utangazaji la Taifa TBC.....
 Maliasili.......
 Uhuru Fm...........
 Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa..........
 Mfuko wa Pensheni wa PPF.......
 DDCA......
 PPF.....

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakisebeneka katika gari lao wakiwa njiani kuelekea Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kushiriki sherehe hizo

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages