MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI KANDA YA AFRIKA WA GATES FOUNDATION YA MAREKANI LEO

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).