Thursday, May 19, 2016

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT ASHA_ROSE MIGIRO LEO OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na  na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt  Asha_Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke  leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza  Dkt Asha_Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.