Wednesday, May 25, 2016

LUHWAVI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watumishi wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni Mkumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk. Pindi Chana na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Utawala Mwajuma Nyamka
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watumishi wa CCM, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo

 Wafanyakazi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza nao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo

Wafanyakazi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza nao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO).
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.