Thursday, April 21, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA KUFUNGUA MKUTANO WA NANE WA MAWAZIRI WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vikundi mbalimbali vya ngoma alipowasili Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa ajili ya kufungua Mkutano wa nane wa kikao cha kawaida kuhusu matumizi ya silaha ndogondogo katika nchi za maziwa makuu na pembe ya Afrika unaotarajiwa kuanza kesho April 22, 2016 Mkoani Arusha Picha na OMR.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.