Tuesday, April 26, 2016

DK.SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MAREHEMU ABDALLA MOHAMD MSHINDO(M\KITI CCM)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika msikiti wa Khinani,Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]
 Maelfu ya wananchi na waislamu waliobeba jeneza la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika mazishi yake yaliyofanyika leo kijiji cha Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto)akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A',Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (Gavu) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Haji Juma Haji akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM wakiitkiia dua iliyoombwa baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiwapa pole familia ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.