LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 5, 2016

RAIS MAGUFULI AMTUMIA DK. SHEIN SALAAM ZA RAMBI RAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kufuatia kifo cha mmoja wa waasisi wa Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964 Mzee Hamid Amer aliyefariki dunia leo mchana mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages