Tuesday, February 2, 2016

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MWENYEKITI WA CCM

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ofisi ndogo ya CCM,Makao Makuu Lumumba,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Ofisi ndogo,Makao Makuu CCM Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 02, 2016 wakati Makamu wa Rais alipotembelea katika Ofisi hiyo.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.