Thursday, February 4, 2016

JK AWASILI MKOANI SINGIDA JIONI HII


 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika Februari 6 kwenye uwanja wa Namfua.
  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Mzee Hamisi Nguli mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika Februari 6 kwenye uwanja wa Namfua
  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza kumpokea mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika Februari 6 kwenye uwanja wa Namfua
  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia watu waliojitokeza kumpokea alipowasili mkoani Singida.
  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Singida Ndugu Said Amanzi.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye walipokutana mkoani Singida tayari kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.

Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.