HOTUBA YA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI SIKU YA SHERIA FEBRUARY 4, 2016


1 comment: Leave Your Comments

  1. hotuba ni znuri sana nimeisikiliza na kuilewa na namuombea sana Raisi wetuMungu amlinde aweze kutimiza yote aliyoyaanhidi. especially kwenye swala la usawa wa kimaisha hali ilikuwa mbaya sana watu mnahangaika kusoma lakini kwenye ajira wanafaidi wenye ma god father tu ndio hawana weledi lakini wanapata nafasi nzuri serikalini na kulipowa pesa nyingi sana kisha wewe uliyekuwa na bidii unatupwa vijijini pasipokuwa hata na huduma za kijamii. asante sana Mkuu wetu wa nchi mimi niko pamoja nawe katika sala zangu

    ReplyDelete

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.