DK. SHEIN AKUTANA BALOZI MTEULE WA KUWAIT


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait Mahadhi Juma Maalim leo alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait Mahadhi Juma Maalim leo alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]