Sunday, January 31, 2016

UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 39 YA KUZALIWA CCM KISIWANDUI MJINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, katika Mkutano wa hadhara wa Mikoa minne  ya Unguja katika  Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.[Picha na Ikulu.]

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa wakati alipowasili katika uwanja wa Ofisi ya CCM Kisiwandui katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwasalimia  Wanachama cha Mapinduzi  katika mkutano wa hadhara wa Mikoa minne  ya Unguja mara alipowasili katika shamra shamra za Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Ofisi kuu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia vijana wa halaiki katika mkutano wa hadhara wa   ya shamra shamra za Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Yussuf Mohamed Yussuf akitoa salam za Mikoa Minne ya Chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano wa hadhara wa Mikoa minne  ya Unguja shamra shamra za Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na Wanachama cha Mapinduzi  katika mkutano wa hadhara wa Mikoa minne  ya Unguja shamra shamra za Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
 
 Baadhi ya Wananchi na Wanachama cha Mapinduzi  (CCM) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika shamra shamra za Uzinduzi wa sherehe za miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.