Monday, December 14, 2015

MHE. NAPE AFUNGUA MDAHALO WA KUJADILI HOTUBA YA RAIS CHUO KIKUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wageni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya Mdahalo wa kuijadili hotuba ya Rais aliyoitoa siku ya ufunguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mdahalo ulioandaliwa na TAHLISO wenye lengo la kujadili hotuba ya Mheshimiwa Rais Dk. John Pombe Magufuri aliyoitoa wakazi wa uzinduzi wa bunge la 11 mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam waliokuwa na malalamiko juu ya masuala ya mikopo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.