Saturday, December 12, 2015

MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Wiliam Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Tamisemi Utumishi na Utawala Bora.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jenista Mhagama kuwa Waziri katiak Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Kazi,Vijana , Ajira na Walemavu), Ikuli jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Charles Kitwanga kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha akimuapisha Mhe. Ummy Mwalimu kuwa Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. January Makamba kuwa Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Angella Kairuki kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa  Kilimo,Mifugo na Uvuvi.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Charles Mwijage kuwa Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Agustino Mahiga kuwa Waziri wa Mambo ya Nje,Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Nape Moses Nnauye kuwa Waziri wa Habari,utamaduni, Wasanii na Michezo.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.