JINA LA WAZIRI MKUU LATAJWA BUNGENI

Mhe. Kassim Majaliwa mbunge wa jimbo la Ruangwa jina lake limependekezwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambapo atapigiwa kura na wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.