Monday, October 19, 2015

ZIKIWA ZIMEBAKIA SIKU 6 TU WATANZANIA WAPIGE KURA MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO 16 LEO

  • Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli leo amehutubia jumla ya mikutano 16 ambapo miwili tu ndio iliyokuwa rasmi,alihutubia Kamanga,Nyamatongo,Katunguru,Kasenyi,Nyamazongo,Luchili,Bukokwa, Kalebezo,Nyehunge(mkutano rasmi), Wezera,Nzera,Nkome (mkutano rasmi)Sungusila,Igate,Kasota na Bugurula.
Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Jimbo la Buchosa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nyehunge, wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza .
 Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea ubunge jimbo la Buchosa Dk. Charles Tzeba kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nyehunge ,wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza.
 Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Bukokwa waliojitokeza kwa wingi kumpokea.
 Wakazi wa Luchili wakimsikiliza Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.

 Wakazi wa Nkome wakimsikiliza Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni za CCM, Geita Vijijini.
 Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Nkome Geita Vijijini ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Serikali yake itakuwa ya kuchapa kazi tu kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Watanzania.
 Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nkome.
 Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma kwa wananchi wa Nkome  kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nkome, Geita Vijijini.
Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya Makomandoo wakishambulia jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Nkome, Geita vijijini.
Msanii Linah akiimba kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Nkome, Geita Vijijini ambapo  Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
Wasanii wa TMK Wanaume , Chegge na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Nkome ,Geita vijijini.
Msanii Ruby akiimba na kucheza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Nkome, Geita Vijijini ambapo  Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli aliomba kura na kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Nkome.
Malaika akiimba kwa hisia kwenye mkutano wa kampeni wa kumnadi  Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika Nkome,Geita Vijijini.
Wakazi wa Nkome wakiwa juu ya miti kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo  Mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.