Monday, October 5, 2015

NIMESTUKA KAMPENI ILIVYOFANYA KATA YA NDALA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI
Baadhi ya wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano
Miss Tanzania 2014/15, Lilian Kamazima akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini wakifuatilia mkutano
Mgombea ubunge jimbo la Nzega Vijijini, Hamis Kigwangala (kushoto) akifuatilia mkutano ulifanyika kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
Wasnii wa Timu Nimestuka wakiwa Jukwaani kabla ya kuzungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini leo hii.
Msanii Khamis Ndend akizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
wasanii Juma Nature na Inspector Harun wakizungumza na wananchi wa kata ya Ndala jimbo la Nzega vijini.
Mama Samia Suluhu akisalimiana na Wasanii wa Timu Nimestuka mara baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini

Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.