Sunday, October 18, 2015

MAMA SAMIA AITEKA MBOZI MKOANI MBEYA LEO

Chopa aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya  Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya, leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu chemba.
Wananchi wakiwa wamefurika Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mwananchi akiwa ameweka kiunoni fomu ya kupiga kura inayoonyesha kumchagua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadili jambo na Mgomea Ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Mlowo mkoani Mbeya leo
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo
Wasanii wa Bongo Movie wanaunda kundi la kampeni za CCM la "Mama Ongea na Mwanao", wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa  Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Kada wa CCM Juliana Shonza akihutuia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika eo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Kada wa CCM, Mtela Mwampamba akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo a Mbozi mkoani Mbeya leo
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa mama Samia Suluhu Hassan auliofanyika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimuombea Kura  mgombea ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutnaowa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mbeya.
Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimuombea Kura  mgombea ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambia katika mkutnaowa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mbeya.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Ubunge jimbo la Mbozi, Godfrey Zambia alipokuwa akiomba kura katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo hilo mkoani Mbeya
Mgombea Ubunge jimbo la Mbozi mkoani Mbeya Godfre Zambi akiomba kura wakati wa mkutao wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika jimbo  hilo la Mbozi mkoani Mbeya
Mjumbe wa Kampeni za CCM Kitaifa, Mwigulu Nchemba,  akiwa na mwanamuziki Ally Choki wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika keo katika jimbo la Mbozi, mkoani Mbeya leo. Kulia ni Kiongozi wa kundi la Mama Ongea na mwanao, Steve Mengere maarufu kwa jina la Steve Nyerere, katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya
Mgombea Ubunge jmbo la Mbozi Godfrey Zambi akiomba kutra baara ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akatika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mbeya.
ananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo
Kiongozi wa kundi lnalounda kikundi cha kampeni cha Mama Ongea na Mwano, Steve Mengere akihutuba mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo Mbozi mkoani Mbeya
Mgombea Ubunge jimbo la Mbozi Godfrey Zambi akipiga push up wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika  leo katika jimbo la hilo mkoani Mbeya leo
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM na Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia wananci katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.