Friday, October 2, 2015

MAMA SAMIA AFUNIKA KATIKA MAJIMBO YA BUSEGA, BARIADI NA ITILIMA MKOANI SIMIYU LEO

 Maelfu ya wananchi wakiwa wamewasili kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati akiingia katika jimbo la Busega, mkoani Simiyu akitokea mkoa wa Mara leo.
 Mgombea Ubunge jimbo la Busega, Dk. Raphael Chegeni akiomba katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan leo katika jimbo hilo, mkoani Simiyu.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu, Dk. Titus Kamani wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Busega mkoani humo leo.
 Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Nkenge, lakini akashindwa katika kura za maoni, Mama Asupta Mshama akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Busega mkoani Simiyu.
 Wananchi wakimshangilia Mama Asupta baada ya kuwakonga nyoyo katika hotuba yake, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busega mkoani Simiyu leo
 Mama Asupta Mshama akikumbatiwa na Dk. Chegeni baada ya kutoa hotuba yake kwenye mkutano huo wa kampeni.
 Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Busega katika mkoa huo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa atiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutao wa kampeni katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Busega mkoani Simiyu.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnad mgomea Ubunge jimbo la Busega Dk. Chegeni wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
 Wananchi wakimshangilia, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bariadi mkoani Simiyu leo
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan  ulofanyika leo katika jimbo la Itilima mkoani Simiyu
Mgombea Ubunge jimbo la Itilima, Njau Silanga akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
 Wananchi wakifuatilia hotuba huku wengine wamekaa kwenye paa la nyumba, wakati wa mkutabo wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Itilima mkoani Simiyu.
 Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan  ulofanyika leo katika jimbo la Itilima mkoani Simiyu
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Itilima, Njau Silanga, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.