Sunday, October 25, 2015

MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani Geita.
Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya ubunge kwenye sanduku la kura.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake kwenye sanduku la udiwani.
Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha wino kwenye kidole chake cha shahada kama ishara ya kukamilisha zoezi la kupiga kura.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.