Friday, October 2, 2015

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ATINGA MKOANI SINGIDA LEO


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mnadani, Ikungi kumsikiliza kuwa serikali atakoyoiunda itaondoa kero ndogo ndogo kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Mnadani, Ikungi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Jimbo la Singida Mashariki kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mnadani,Ikungi.


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika uwanja wa Mnadani,Ikungi.
 Chegge na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Ikungi mkoani Singida.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni mkoa wa Singida John Chiligati akihutubia wakazi wa Ikungi kwenye mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaji Abdalla Bulembo akihutubia wakazi wa Ikungi mkoani Singida.
 Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Tabora Kaskazini kupitia Chadema ambaye amehamia CCM kutokana na kutoridhishwa na ukiukwaji wa taratibu za Chadema akihutubia wakazi wa Ikungi kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo akihutubia wakazi wa Ikungi kwenye mkutano wa kampeni za kuinadi CCM.
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la  Mhe. Lazaro Nyalandu akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea urais wa CCM.
 Wakazi wa Kintinku wakishangilia kumuona mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa walipokutana Tambula Reli Manyoni.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Manyoni kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tambuka reli,Manyoni.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Ndugu Daniel Mtuka kwenye mkutano wa kampeni zilizofanyika kwenye viwanja vya Tambuka reli.
 Mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Kaskazini Lazaro nyalandu akizungumza na mgombea wa ubunge kupitia CCM Jimbo la Manyoni  Magharibi Ndugu Yahaya Omary Massare.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mgombea ubunge jimbo la Manyoni Magharibi Ndugu Yahaya Omary Massare kabla ya kuwahutubia wakazi wa Itigi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Itigi.
 Wakazi wa Itigi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Manyoni Magharibi Ndugu Yahaya Omary Massare kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya reli Itigi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipokea dua kutoka kwa Imamu wa Msikiti wa kata ya Puma Sheikh Ramadhan Hamisi wakati akiwa njiani kuelekea Singida mjini.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.