Thursday, October 22, 2015

MAGUFULI AENDELEA NA AMSHA AMSHA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Tegeta waliojitokeza kumpokea wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Kawe uliofanyika viwanja vya Bunju.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa Bunju A.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Ghalib Bilal kabla ya kuhutubia wakazi wa Kawe waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Kawe.

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM wa kumnadi  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
 Wakazi wa Kawe wakiwa juuu ya paa la nyumba wakati wa mkutano CCM wa kumnadi
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kawe kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Bunju A.
 Wananchi wa Kawe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kawe Kippi Warioba kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika viwanja vya Bunju A.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.