Sunday, October 18, 2015

MAGUFULI AENDELEA KUZOA KURA ZA MWANZA LEO

 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mabatini jijini Mwanza ambapo aliwaambia kuwa atakapochaguliwa oktoba 25 atahakikisha anawatumikia Watanzania kwa nguvu zote na kuleta maendeleo.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buzuruga jijini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
 Hii ndio furaha ya watu wa Mwanza hata wenye taulo walijitokeza.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kisesa wakati akiwa njiani kuelekea Magu.


 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.


 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.


 Wakazi wa Misungwi walivyofurika kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Misungwi mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanakanenge.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.