LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 30, 2015

MKUTANO WA CCM WA KAMPENI JIMBO LA PAJE KUSINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM jimbo la Paje katika mkutano wa hadhara wa kampeniza CCM zinazoendelea uliofanyika kiwanja cha mpira kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja ,[Picha na Ikulu.]
 Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofurika katika uwanja wa mpira kijiji cha Paje katika mkutano wa Hadhara wa aina yake katika jimbo la Paje Wilaya ya Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkablaya kutoa sera za CCM katika kuwania urais kwa kipindi cha pili cha Uongozi,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM jimbo la Paje katika mkutano wa hadhara wa kampeniza CCM zinazoendelea uliofanyika kiwanja cha mpira kijiji cha Paje Wilaya ya Kusini Unguja ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages