Sunday, September 13, 2015

MAMA SAMIA ATIKISA MKURANGA

 Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia baadhi yaviongozi baada ya kuwasili kuanya mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Mkuranga mkoa wa Pwani leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia  akiwasili kuhutubia Mkutano wa kampeni katika jimbo la Mkuranga mkoa wa Pwani
 Mama Samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili jimbo la Kibiti kuhutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mkuranga mkoa wa Pwani
 Nderemo na hoihoi zikitawala Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mamasamia alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mkuranga
Vijana wakiwa wapmepozi kwenye trekta wakati wakimsikiliza Mgombea mwenza wa Urais ka tiketi ya CCM, Mama Samia alipohutubia mkutano wa kampeni jimbo la Mkuranga
 Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa Mama Samia jibo la Mkuranga
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia akiteta jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Kibiti, Ally Ungando katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo atika jimbo hilo
 Mkuu wa Wilaya ya Kilwa mkoa wa Kilwa, Noordin Babu akiwahutubia wanachi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kibiti mkoa wa Pwani
 Aliyekuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Nkenge Mama asupta Mshama akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kibiti mkoa wa Pwani
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akihutubia mkuano wa kampeni uliofayika Kibiti mkoa wa Pwani
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.