Thursday, September 3, 2015

MAMA SAMIA ARINDIMA TEMEKE, DAR ES SALAAM, WANANCHI KWA MAELFU WAFURIKA MKUTANO YAKE KATA YA BUZA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa baada ya kuwasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam.
 Wananchi wakimshangilia mgombea Mwnza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, leo jioni
  Wananchi wakimshangilia mgombea Mwnza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, leo jioni
  Wananchi wakimshangilia mgombea Mwnza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, leo jioni
 Vijana akipiga kwata ya furaha kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu alipowasili katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es salaam
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akimpatia maelekezo mgombea ubunge jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu katika mkutano wakampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimboni humo mkoani Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akimkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan kuhutubia mkutano wakampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza mkoani Dar es Salaam, leo.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam
 Umati wa wananchi ukimsikiliza mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
 Wananchi wakiwa katika hamasa wakati wa mkutano wa kampeni wamgombea mwenza kwa timeti ya CCM uliofanyika leo katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam.
 Vijana wa kundi cha ngonjera cha Fataki wakihamasisha kwa mashairi murua ya kuinadi CCm wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwatuza vijana hao
 Baadhi ya wananchama wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika leo kwenye Kata ya Buza jimbo a Temeke mkoani Dar es Salaam, leo
 Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia yaliyokuwa yanajiri kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanywa na mgombea mwenza wa Urais wa tiketi ya CCM Mama Samia katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam
 Picha za mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli zimekuwa kivutio na hivyo kusababisha baadhi ya wajasiriamali kujipatia fedha kwa kuziuza kwa mashabiki kama ilivyokuwa jana katika mkutano wakampeni uliofanyika leo katika kata ya Buza jimbo la Temeke
Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati ukienda kata ya Buza jimbo la Temeke kwenye mkutano wa kampeni leo. Picha zaidi BOFYA HAPA>PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.