Tuesday, September 22, 2015

MAMA SAMIA AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KOROGWE MJINI NA VIJINI NA MLALO MKOANI TANGA

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi, kufanya mkutano wa kampeni jimbo la Korogwe Mjini mkoani Tanga leo.
 Umati wa wananchi ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa  Shule ya Msingi Mazoezi wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika  leo katika jimbo la Korogwe mjini leo
 Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanywa na Mama Samia katika jimbo hilo leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofayika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Mazoezi katika jimbo la Korogwe mjini leo
 Wasanii wa bendi ya Hapa Kazi tu wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa shule ya msingiMazoezi katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga leo
 Wasanii waliopo katika kundi la Mama Sema na mwanao, Kamarade Ally Choky na Snura wakiburudisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga
 Sunura akiimba wimbo wa kuifagilia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Korogwe mjini leo
 Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani, maarufu kwa jina la Maji Marefu akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwanadi Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda na Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Vijijini Stecen Ngonyaji maarufu wa jina la Maji Marefu katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanaga leo
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kata ya Mazoezi katika jimbo la Korogwe mjini akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga. Kushoto ni Mama Samia na kulia ni Mgombea Ubunge jimbo la Korogwe Vijijini Steven Ngonyani.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa meza kuu na Mgombea ubunge jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda wakati wa mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo hilo mkoani Tanga
Wananchi wakimsikiliza kwa makini mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Korogwe mjini mkoani Tanga
 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia suluhu Hassan katika eneo la Mombo, wakati akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni Lushoto katika jimbo la Korogwe Jijijini, mkoani Tanga leo.
 Wananchi wakaiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan wakati akienda Kijiji cha Mwangoi, kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Korogwe Vijijini mkoani Tanga leo
 Wananchi wakiwa na bango la kumfagilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mwangoi jimbo la Korogwe Vijijini leo.
 Mbunge wa Bumbuli mkoa wa Tanga, Januari Makamba akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mwangoi jimbo la Mlalo mkoani Tanga leo
 Vijana wa kazi waliopo katika msafara wa kampeni za mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia wakionyeshana kameara ya kisasa wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbola Mlalo mkoani Tanga
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mlalo, Brigedia Mstaafu, Hassan Ngwlizi, akimnadi Mgombea mpya wa jimbo hilo, Rashid Shangazi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tanga leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.