Thursday, September 10, 2015

MAGUFULI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha wageni nyumbani kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere,kulia ni Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na kushoto ni Chief wa Wazanaki Japhet Wanzagi.
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiongozana na watoto wa Baba wa taifa pamoja na Chief Japhet Wanzagi kuelekea kwenye kaburi la Baba wa Taifa.


Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.