Wednesday, September 9, 2015

MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TANGA NA KUAHIDI KUTIMIZA KILA AHADI ALIYOAHIDI

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mashewa wilayani Korogwe kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa serikali yake itakuwa ya kuchapa kazi kwa maendeleo ya wananchi na nchi kwa jumla.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi Diwani wa kata ya Mashewa wilayani Korogwe,Ndugu Seif Ahmed Hillal kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kata ya Magoma wakati akiwa njiani kuelekea Korogwe mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kwenye uwanja wa Kwamazandu,Korogwe vijijini kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kwamazandu, Korogwe Vijijini.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea wa nafasi za udiwani kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kwamazandu,Korogwe vijijini.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mgombea ubunge jimbo la Korogwe mjini Mary Chatanda (katikati) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndugu Abdalla Bulembo kwenye eneo la mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya chuo cha ualimu Korogwe.
 Amon Mpanju akihutubia kwa niaba ya walemavu wa Korogwe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya chuo cha ualimu Korogwe.
 Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuph Makamba akitoa salaam za utangulizi kabla ya  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufulikuhutubia wakazi wa Korogwe.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kwenye viwanja vya chuo cha ualimu Korogwe.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubiawakazi wa Korogwe mjini ambapo alisema pamoja na mipango ya kuboresha maslahi ya walimu pia itaenda sambamba na kuwajengea nyumba za kuishi.
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa Jimbo la Korogwe mjini  Mary Chatanda Ilani ya uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya chuo cha ualimu Korogwe.
 Mgombea ubunge jimbo la Korogwe mjini akionyesha Ilani ya Uchaguzi juu
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwanandi wagombea wa udiwani toka Korogwe mjini.
 Wananchi wa Mombo wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Wakazi wa Jimbo la Bumbuli wakifuatilia kwa makini mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Bumbuli kwenye viwanja vya Togotwe ambapo aliwaahidi kuwajengea barabara ya lami pamoja na kufuatilia suala la kiwanda cha Chai cha Mponde.
 Hivi ndivyo uwanja wa Togotwe ulivyo jaa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Bumbuli Ndugu Januaty Makamba kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Togotwe.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi mbele ya mgombea wa ubunge jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba
 Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akihutubia wananchi wa Jimbo hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Togotwe.
 Katibu Mkuu Mstaafu Ndugu Yusuph Makamba akihutia wakazi Lushoto kwenye uwanja wa Saba saba.
 Lushoto ikiwa imefurika watu tayari kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Ummy Mwalimu akihutubia wakazi wa Lushoto kwenye uwanja sabasaba kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM Dk. John Pombe Magufuli
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Lushoto kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jitegeme.
 Wakazi wa Lushoto wakifurahia mkutano wa  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Original Komedi wakionyesha sanaa yako kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Togotwa
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.